Msaada wa dawa ya kikohozi kikavu

Msaada wa dawa ya kikohozi kikavu

Zogoo da khama

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
638
Reaction score
607
Habarini za majukumu wanajf nahitaji msaada wa mawazo nasumbuliwa na dry coughing wiki sasa, nimeenda Aga khani hospita kupima vipimo vyote viko sawa bado cha makohozi tu.

Dawa ninazo kama benylin dry cough, azithromycin tablets na citirizine tablets.

Shida nikicheka au kuongea ndo nakohoa sana hadi kichwa kinauma. Mawazo yenu tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini za majukumu wanajf nahitaji msaada wa mawazo nasumbuliwa na dry coughing wiki sasa, nimeenda Aga khani hospita kupima vipimo vyote viko sawa bado cha makohozi tu. Dawa ninazo kama benylin dry cough , azithromycin tablets na citirizine tablets. Shida nikicheka au kuongea ndo nakohoa sana hadi kichwa kinauma. Mawazo yenu tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Pima minyoo kama unayo.
 
hebu kunywa dawa za minyoo,kwa kawaida minyoo husababisha kikohoz kikavu hata unywe jaribu vumtrax siku tatu then uskilizie
 
Pole,Sana,tangawizi haisaidii?.
Umetoka China hivi karibuni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom