Brown Kwacha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 299
- 409
it's just a joke..umekuwa Floki🤣🤣🤣Kwisha habari..😂😂
111024872971
Mkuu Kama kitakuwa ni kitu cha tofauti nakushauri wahi hospitali.. hako kaujumbe kangu hapo juu kasikutishe it's just a joke..😜
Namaanisha hiyo kwisha habari asije kubahait's just a joke..umekuwa Floki🤣🤣🤣
Asante mkuu.Kwisha habari..[emoji23][emoji23]
Mkuu Kama kitakuwa ni kitu cha tofauti nakushauri wahi hospitali.. hako kaujumbe kangu hapo juu kasikutishe it's just a joke..[emoji12]
Itakuwa Sababu ya Hiyo deodorant acha kuipakaa..!! Alafu tafuta dawa ya kupakaa kwenye uvimbe hapoo hata Betamethasone au Ketoprofen gel..!!Kuna deodorant nilianza kuitumia.....na mara nyingi nilikuwa napaka kwa armpit ya kushoto na ndiyo yenye maumivu.
Sijajua kam ndiyo kisababishi au kuna kingine zaidi ya hicho.
Hizo dawa nitazipata wapi mkuu?Itakuwa Sababu ya Hiyo deodorant acha kuipakaa..!! Alafu tafuta dawa ya kupakaa kwenye uvimbe hapoo hata Betamethasone au Ketoprofen gel..!!
Pharmacy yoyote...!!Hizo dawa nitazipata wapi mkuu?
Vilishakukuta mrembo?Kama ni mvivu na hupendi dawa kama mimi usitumie dawa vitapona vyenyewe
Kama utataka kutumia dawa tumia anti pain tabs kama tramadol,paracetamol,ibuprofen na/ama amoxillin
Vilishakukuta mrembo?
Walikuambia shida ni nini?Vilishanikuta mara mbili,mkono mmoja
Alisema bacteria eti 😁Walikuambia shida ni nini?
brother mimi pia napitia maumivu haya ulijitibujeImenitokea kama siku tatu zimepita. Ilianzia pajani kama kajibu....sikukatumbua vizuri.
Ila kakapotea. Baada ya siku mbili ukatokea uvimbe mwingine kwapani mmoja, nikauminya ila siku ya pili ukaja mwingine juu yake.
Dawa yake ni nini? Inaweza ikawa imesababishwa na nini? Mkono mzima unauma saana.
Kwa wenye ufahamu au waliowahi kutokewa na hii hali. Ni kwapa la mkono wa kushoto tu....mkono mwingine hauna shida na wala hauumi.
View attachment 1617056View attachment 1617057
Man wewe ni Doctor?Itakuwa Sababu ya Hiyo deodorant acha kuipakaa..!! Alafu tafuta dawa ya kupakaa kwenye uvimbe hapoo hata Betamethasone au Ketoprofen gel..!!