Msaada wa course sahihi ya Afya

Status
Not open for further replies.
Hiyo ni minimum entry so hilo neno at least lina maana kubwa sana. Kama pesa anayo aombe ila asiwe na mategemeo makubwa atafute alternative way. Kwa ajili ya future ya maisha yake.
Hapo kwakweli sijui kikubwa nyie ombeni na sali sana kwa imani yako uchaguliwe maana kufaulu,kusoma,kupata kazi na kupambana na maisha ni vitu tofauti sanaa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…