cc12
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 1,018
- 395
Habari wakuu Nina Mtoto wa Ndungu ya (KE) kamaliza shule mwaka Jana bahat mby kafeli Ameniomb nimsaidie kutafuta Course ya kusomea matokea yake ni Hata
Chem D English C Math F Kiswahili C Civ D Biology D Hist D Geo D
Aliachaga Physics Nilimshauri Asome Ualimu akagoma Msaada kwa hapa wakuu.....
Chem D English C Math F Kiswahili C Civ D Biology D Hist D Geo D
Aliachaga Physics Nilimshauri Asome Ualimu akagoma Msaada kwa hapa wakuu.....