Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,744
Sasa umesomea uvuvi connection ya nini tena?Habari za sahizi wake kwa waume, kwa majina naitwa Msuya Timon Robert nina miaka 24.Nitafuta kazi au mafunzo ya kujitolea walau na kanauli kwenye viwanda vyote vya vyakula mfano soda beer,samaki,nyama,maji,mafuta na unga wa
Kila la heri ila ukija kupata kazi usisahau kutoa majina yako halisi kwenye hii post kwasababu umeshaamua kutumia ID fake.
NdioWekaga space baada ya nukta.
Umejaribu kwenda viwandani kupeleka CV?
mtumbwi na machine yake na nyavu si chini ya million saba. na kwenye maji kuna utaratibu maana huko majin kuna selikari ingineSasa umesomea uvuvi connection ya nini tena?
Hi sio ID fake
SawaHi sio ID fake
So tukuchangie 7m ununue Mtumbwi sio?mtumbwi na machine yake na nyavu si chini ya million saba. na kwenye maji kuna utaratibu maana huko majin kuna selikari ingine
simahanish ivo. iliocho sema ni kitu kizuri, mm nimejaribu kukuonesha investment cost yake ilivyoSo tukuchangie 7m ununue Mtumbwi sio?
assnte sanaMkuu utapata usjaal weka jitiada tu muombe na mungu
[emoji1320]
Achana na huyo mzee wa miaka 55 mwanasuaso mwenzangu huyo hua anaropoka ropoka tusimahanish ivo. iliocho sema ni kitu kizuri, mm nimejaribu kukuonesha investment cost yake ilivyo
Weka namba ya M-PESA nikutumie hela ya kukusaidia kununua vifaa vya uvuviHabari za sahizi wake kwa waume, kwa majina naitwa Frenk Robert nina miaka 24. Nitafuta kazi au mafunzo ya kujitolea walau na kanauli kwenye viwanda vyote vya vyakula mfano soda beer,samaki,nyama,maji,mafuta na unga wa ngano.
Pia kwenye maabala zinazo husiana na uchunguzi wa vyakula, na shughuli za usimamiz wa rasilimali maji,elimu na mafuzo ya ufugaji wa samaki kwa maji baridi.(fisheries expert and extentions worker) mwenye connection au wakunisaidia moja kwa moja na ushauri karibu natanguliza shukurani️🙏
Elimu yangu, Nina diploma ya fisheries/Uvuvi na kutoka chuo cha kati nyegezi mwanza(FETA) pia ni muhitimu wa degree ya food science and technology sua morogoro.Nina uwezo wa kati kutumia komputa,naongea na kuandika lugha ya kiswahili na kingereza.
Sijaelewa chief hapo umemaanisha nini ...huko majin kuna selikari ingine ipi na unatumia utaratibu km upi?mtumbwi na machine yake na nyavu si chini ya million saba. na kwenye maji kuna utaratibu maana huko majin kuna selikari ingine
ziwani kuna mambo ya hovyo hovyo sana, unaweza ukachonga mtumbwi wako ukaenda kuvua usirudiSijaelewa chief hapo umemaanisha nini ...huko majin kuna selikari ingine ipi na unatumia utaratibu km upi?
Mtu anapoenda kuvua ziwani na asirudi anakuwa amepoteaje?Ni kitu gani kinacho mfanya asirudi?ziwani kuna mambo ya hovyo hovyo sana, unaweza ukachonga mtumbwi wako ukaenda kuvua usirudi
We mzee acha mbwembwe 😂Weka namba ya M-PESA nikutumie hela ya kukusaidia kununua vifaa vya uvuvi
najua kuogelea sana, sema real experience kwenye external environment ndo sina. lakin kitu cho chote kuhusu maji hakiwez nishindaUnajua kuogelea and diving in the deep sea and ocean?