basi kama ni cable kuna probability mbili, kwanza ISP wako ana tatizo la network ambayo ni very unlikely, Two settings za modem yako kuna sehemu haiko sawa labda username na password ya account yako kwa hiyo unashindwa kupata internet au tatu Computer yako inashindwa kupokea IP address automatically kwa hiyo labda ujaribu kuweka IP address manually that is kama unaijua IP ya network yako.. labda uniambie ni cable ya kampuni gani