0 0767854945 Member Joined Jul 5, 2013 Posts 74 Reaction score 2 Aug 30, 2013 #1 Kuna rafiki yangu amechaguliwa kusomea ukutubi na ualimu ipi ni course nzuri kati ya hizi kimasirahi jamani msaada wenu tafadhari
Kuna rafiki yangu amechaguliwa kusomea ukutubi na ualimu ipi ni course nzuri kati ya hizi kimasirahi jamani msaada wenu tafadhari
S Sospetergideon JF-Expert Member Joined Aug 9, 2013 Posts 300 Reaction score 16 Aug 31, 2013 #2 Maslahi yanaweza kuwepo ktk ualimu inahitajika uvumilivu ila kwenye huo ukutubi siwezi sema lolote kwa kuwa sina experience na hayo mambo kama kuna yeyote aelewae kuhusu hilo aongezee.
Maslahi yanaweza kuwepo ktk ualimu inahitajika uvumilivu ila kwenye huo ukutubi siwezi sema lolote kwa kuwa sina experience na hayo mambo kama kuna yeyote aelewae kuhusu hilo aongezee.
O oil sumu JF-Expert Member Joined Jun 26, 2013 Posts 787 Reaction score 47 Aug 31, 2013 #3 ukutubi ni nini?
S Sospetergideon JF-Expert Member Joined Aug 9, 2013 Posts 300 Reaction score 16 Aug 31, 2013 #4 oil sumu said: ukutubi ni nini? Click to expand... Duuh! Yaani hata neno lenyewe tu limekuwa gumu ni mambo yanayohusiana na maktaba @Oil
oil sumu said: ukutubi ni nini? Click to expand... Duuh! Yaani hata neno lenyewe tu limekuwa gumu ni mambo yanayohusiana na maktaba @Oil
O oil sumu JF-Expert Member Joined Jun 26, 2013 Posts 787 Reaction score 47 Aug 31, 2013 #5 Sospetergideon said: Duuh! Yaani hata neno lenyewe tu limekuwa gumu ni mambo yanayohusiana na maktaba @Oil Click to expand... sasa ndugu yangu unataka kusoma maktaba hutapata wapi ajira bora ungesoma edu coz maktaba xa taifa ipo 1 tz
Sospetergideon said: Duuh! Yaani hata neno lenyewe tu limekuwa gumu ni mambo yanayohusiana na maktaba @Oil Click to expand... sasa ndugu yangu unataka kusoma maktaba hutapata wapi ajira bora ungesoma edu coz maktaba xa taifa ipo 1 tz
S Sospetergideon JF-Expert Member Joined Aug 9, 2013 Posts 300 Reaction score 16 Aug 31, 2013 #6 oil sumu said: sasa ndugu yangu unataka kusoma maktaba hutapata wapi ajira bora ungesoma edu coz maktaba xa taifa ipo 1 tz Click to expand... Kwanza sio mimi muhusika mi imekuwa kama katika kumsaidia mtoa mada, Ila ahsante sana kwa ufafanuzi najua hata yeye mwenyewe jibu atakuwa amelipata.
oil sumu said: sasa ndugu yangu unataka kusoma maktaba hutapata wapi ajira bora ungesoma edu coz maktaba xa taifa ipo 1 tz Click to expand... Kwanza sio mimi muhusika mi imekuwa kama katika kumsaidia mtoa mada, Ila ahsante sana kwa ufafanuzi najua hata yeye mwenyewe jibu atakuwa amelipata.
V veara Member Joined Jun 2, 2013 Posts 9 Reaction score 1 Nov 22, 2013 #7 oil sumu said: ukutubi ni nini? Click to expand... utunzaji nyaraka mbalimbali