> Tumia Private Internet Access,PIA, ni moja kati ya vpn nafuu zaidi kwa mwaka.
> Hii malipo kwa mwaka ni US$ 39.95. hivyo bajati yako inabidi iongezekebkidogo.
> tusubiri wadau wengine tuone wanasemaje.
Nashukuru sana. Nmefanikiwa kuinunua Online(Cyber Ghost VPN) kwa US$20.4 Kwa hiyo bei ni very cheap. Almost bure kabisa. Wamenikata Tsh35,000/-kwenye Tembo MasterCard yangu. Na saivi nnakula/pakua all USA Restricted Websites such as(Vevo/Pandora/Hulu/sbs/NBC/Netflix/Spotify etc) Ila Spotify Music ni kila kitu.
Thanks Very Much. Hii Easter Offer yao Iko Bomba sana. Sio ya Kuikosa kwa Wale wanaojua Umuhimu wa VPN.