Exformer
JF-Expert Member
- Nov 12, 2018
- 863
- 1,003
Wadau husikeni na kichwa tajwa hapo juu,
Nimeanzisha channel ya YouTube, nia na madhumuni na lengo langu kubwa ni kuwa napost "highlights" za michezo ya mpira wa miguuu ndani na nje ya nchii pia na masuala mbali mbali ya michezo. Lakini nina shida kubwa wadau.
Kwanza nataka kufahamu ni tools xipi nikiwa nazo zitanisaidia sana kuediti na kupost video hzo lkn pia tool ya kuminimize ukubwa wa videos!!?
Lakini kubwa kuliko ni "nitaweza vipi kuzipata hizo highlights za michezo na kupost kwa urahisi?
Na wale wenzangu wenye youtu.be channel mnipe mbinu za kuikuza channel na kuwafikia watu kwa haraka na kupata subscribers?
AHSANTENI
KARIBUNI
Sent using Jamii Forums mobile app