shalolizo JF-Expert Member Joined Aug 6, 2013 Posts 336 Reaction score 204 Jul 19, 2015 #1 Wataalam naomba msaada wenu kuhusu hili tatizo la simu yangu tecno h6, nilimpeleka kwa fundi kuweka charge system vizuri, fundi akaiformat simu,, cha ajabu saizi camera hatoi picha vizuri kama mwanzo
Wataalam naomba msaada wenu kuhusu hili tatizo la simu yangu tecno h6, nilimpeleka kwa fundi kuweka charge system vizuri, fundi akaiformat simu,, cha ajabu saizi camera hatoi picha vizuri kama mwanzo