Kazi nzuri Mungu akubarikie.
Rubi mambo?
Waliofanya application awali na wamekosa wakifanya application upya wanalipia upya?.Jamani kama bado una shida na nacte haujaapply hadi sasa HV natoa msaada wa bure kabisa kama una shida yoyote niulize ili ukamilishe usajili wako
na vyuo navyo competition ni kubwa sana hasa vya serikal na vngne vmeshajaa
nicheki hapo
0766414834(whatsapp na mawasiliano pia
Hapana. Unaingia tu kwenye account yako unafanya application kwenye vyuo na kozi nyingine.Waliofanya application awali na wamekosa wakifanya application upya wanalipia upya?.
Ukiingia unaambiwa application closed.Hapana. Unaingia tu kwenye account yako unafanya application kwenye vyuo na kozi nyingine.
kk samahani unaweza tuueleza competion kwenye vyuo vya ufundi ipoje kwa mf ATC,DIT nk kwa corses za eng je naweza kuaply na kupata nafasi kweli ?NtakuchAngia
naomba msaada katika password maana nimeisahauSiku znazd kuyoyoma na form six wengne bado wapo njia Panda so mwenye shida yoyote either kasahau password yake, hajaapply, ushaur WA vyuo, faculties na shda zngne zozote .
Ncheki hapa 0766414834(whatsapp na mawasiliano pia)
Nawezaje kuomba vyuo vya government course diploma education maana nikiangalia kwenye profile yangu naona vyuo vya private pekee! msaada please maana hv ada ni kubwa etiSiku znazd kuyoyoma na form six wengne bado wapo njia Panda so mwenye shida yoyote either kasahau password yake, hajaapply, ushaur WA vyuo, faculties na shda zngne zozote .
Ncheki hapa 0766414834(whatsapp na mawasiliano pia)