Msaada wa brief za Habari ucku huu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa brief za Habari ucku huu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mkonomtupu, Nov 8, 2011.

 1. mkonomtupu

  mkonomtupu JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Wakuu salam.
  Napenda kujua habari za usiku wa leo (Taarifa za Habari za saa 2) nini kimejiri? Maana huku kwetu Ngeleja kaleta mgao wa giza muda huu.
  Nawasilisha
   
 2. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Pole sana, hata huku kwetu Mbagala katutembelea Ngeleja lakini nasikiliza radio kwenye kimchina changu.
  Habari ni juu ya ishu ya cdm huko Arusha kama unavyosoma humu JF, bunge na ziara ya Prince Charles.
   
 3. mkonomtupu

  mkonomtupu JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  mkuu hata mimi nipo mbagala
   
Loading...