Mi natumia blackberry 9700, simu yangu ina wiki sasa screen inaweka marangi rangi na inakata maneno, ukiandika unakuta neno moja lipo chini lingine juu, inatoa mstari toka juu kwenda chini unatenganisha maneno. Sijajua tatizo nini. Mwenye utaharamu naomba msaada!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums