Hizi thread zinajirudia sana, Tatizo kila mtu anataka kuanzisha yake, mkuu wazo la biashara hutokana na wewe Kusoma, Machapisho mbalimbali ya biashara, vitabu, Kutazama TV za makala ya Biashara, Kutembea na kazalika, sasa kama kufukua humu kutafuta thread umeshindwa biashara utaweza kufanya? Jaribu kupitia thread mbalimbali humu utakutana na Aidea zisizo pungua 1000