Msaada wa biashara gani inafaa

Ill give you agency of WEBSITE SERVICES.
Email Services etc, for business and personal !

kama upo interested, pm !
 
Nafikiri wazo lako la kwanza ni kuku ambalo umeelezea kidogo kwamba una uwezo wa kuwapata kirahisi. Hata siku moja mtu hachaguliwi biashara ya kufanya. Angalia ile biashara unayopenda toka rohoni kwako. Ukitaka ushauri kuhusu masoko basi tutakusaidia kwa hilo.
 
Asanteni wakuu kwa michango yenu, nimejifunza mengi sana, nitafanyia kazi na kupima kipi ni borana baada ya mchakato nitajawaambia lipi na nini nimefanya Mungu awabariki sana!
 
Back
Top Bottom