Nenda gerezani kuna maduka yanauza mabomba mbalimbali kuanzia ya China, India, Spain, France etc Bei ni tofautitofautiMafundi naombeni msaada wa kujua bei ya bomba la mvua la kuogea tafadhari
Mmh sio kweli mkuu, shower rose zinaanzia sh.3000 na kuendelea kulingana na design unayotakaInategemea na aina ya bomba pia materials yaliyotumika kutengeneza, Kariakoo zipo za kuanzia shilingi 60,000 mpaka 300,000/
Nitakuwa sijamuelewa, nilidhani ni Shower set, maana uswahilini ile set nzima tunasemaga 'bomba la mvua'Mmh sio kweli mkuu, shower rose zinaanzia sh.3000 na kuendelea kulingana na design unayotaka