Cherehani inategemea kama ni mtumba au dukani, za mtumba ziko juu kidogo na imara kuliko za dukani.
Huku Mbeya, bei inaanza na 160,000 na kuendelea.
Mimi mwenyewe nataka nianzishe hii biashara , ila bado sijapata wazo kamili kulingana na hali yangu ( Mimi ni mtumishi wa uma)
Je ni vizuri kumpa mtu- kumkodishia mtu, au niajiri Taylor awe anafundisha vijana, au nipangishe watu wawe wananilipa kwa siku?