mjukuum JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 5,257 Reaction score 2,849 Nov 22, 2016 #1 Poleni na hongera kwa majukum ya Leo Ninaomba msaada wakuu Kuna app ambayo inaweza kusev charge kwenye simu maana hii kwangu ni shida Nina simu aina ya w40 tecno chaji inanisumbua sana
Poleni na hongera kwa majukum ya Leo Ninaomba msaada wakuu Kuna app ambayo inaweza kusev charge kwenye simu maana hii kwangu ni shida Nina simu aina ya w40 tecno chaji inanisumbua sana
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Nov 22, 2016 #2 mjukuum said: Poleni na hongera kwa majukum ya Leo Ninaomba msaada wakuu Kuna app ambayo inaweza kusev charge kwenye simu maana hii kwangu ni shida Nina simu aina ya w40 tecno chaji inanisumbua sana Click to expand... Kama ni tecno W4 . hiyo simu ina uwezo mkubwa wa kukaa na chaji. Restore au Peleka kwa fundi akaichunguze kama battery ina shida.
mjukuum said: Poleni na hongera kwa majukum ya Leo Ninaomba msaada wakuu Kuna app ambayo inaweza kusev charge kwenye simu maana hii kwangu ni shida Nina simu aina ya w40 tecno chaji inanisumbua sana Click to expand... Kama ni tecno W4 . hiyo simu ina uwezo mkubwa wa kukaa na chaji. Restore au Peleka kwa fundi akaichunguze kama battery ina shida.
mjukuum JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 5,257 Reaction score 2,849 Nov 23, 2016 Thread starter #3 ymollel said: Kama ni tecno W4 . hiyo simu ina uwezo mkubwa wa kukaa na chaji. Restore au Peleka kwa fundi akaichunguze kama battery ina shida. Click to expand... Ndio nashindwa kuelewa nikajua labda kuna app ya kusev chag
ymollel said: Kama ni tecno W4 . hiyo simu ina uwezo mkubwa wa kukaa na chaji. Restore au Peleka kwa fundi akaichunguze kama battery ina shida. Click to expand... Ndio nashindwa kuelewa nikajua labda kuna app ya kusev chag
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,157 Reaction score 166,114 Nov 23, 2016 #4 Kinacho hifadhi Umeme ni application au battery? Naendelea kuwaza kwa makelele
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,294 Nov 23, 2016 #5 mjukuum said: Ndio nashindwa kuelewa nikajua labda kuna app ya kusev chag Click to expand... Fanya restore halafu ulete mrejesho hapa
mjukuum said: Ndio nashindwa kuelewa nikajua labda kuna app ya kusev chag Click to expand... Fanya restore halafu ulete mrejesho hapa