Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Natumia laptop nataka Apps nzur za kuandikia hadithi maana mimi naijua hii ya word tu
Natumia laptop nataka apps nzur za kuandikia hadithi maana mimi naijua hii ya word tu
Asante sana kaka ila mm ninayo ya 2010 ipo nzuri maana zina miaka
Asante sana kaka ila mm ninayo ya 2010 ipo nzuri maana zina miaka
Asants kakaIko vizuri pia maana features za muhimu zote zipi. Ila jaribu pia version za juu kama 2013, 2016.... N.k . Utapata flavour zaidi