Fino da Final
Member
- Jun 3, 2013
- 66
- 30
Wana jamii forum naomba msaada wa app nzuri ya kuroot simu yangu pamoja na hatua za kufuata. Simu ni samsung galaxy s3
Sante mkuutumia odin na cf root ya chainfire, na kama unataka kutafuniwa mkuu mambo yanayofuatia baada ya root unaweza tu uka corrupt simu yako