Kazi za CSE vigezo ninavyo. mkuu believe meVigezo vya hiyo nafasi hujakizi labda useme ni kazi gani na wewe unaelimu ya nini?? Kama wametaka mtu mwenye ba ya marketing nawe una bba Huwa inakataa labda kama hiyo bba wameorodhesha katika tangazo lao
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Huko kama wanataka mtu mwenye diploma na profile yako inasema una degree mzee lazima igome.Kazi za CSE vigezo ninavyo. mkuu believe me
Kama ulipsndisha cheti cha form six na kuendelea, maombi hayawezi kwenda. Wanataka highest level ya applicant iwe form four.Kazi za CSE vigezo ninavyo. mkuu believe me
Mi ni dereva. Nilieka Cha VETA tu, leseni na Cha O level Sasa mambo yangu ya DIT sijaweka kabisa coz cheti sikuwa nacho by then nafungua akaunti kozi Hawa ajira portal unajaza elimu huku unambatanisha na cheti as PDF.Huko kama wanataka mtu mwenye diploma na profile yako inasema una degree mzee lazima igome.
Umezungatia hilo?
MKUU cheti ni Cha VETA tu nilieka. Tena Cha Basic Driving na form four Basi tu. Valid license na other data Ila ktk academic ni hizo tu .... Sikutaka niwwke mavyeti MengineView attachment 2533472
Kwa post hiyo, wanataka mtu mwenye leseni ya kuendesha pikipiki na hiyo form four, hakuna namna hapo.
Hiyo post anayoizungumzia inataka mtu wa form four na mwenye leseni ya kuendesha pikipiki kwa mujibu wa sifa zilizoainishhwa katika tangazo.Sasa hapo unatakiwa uweke cheti cha form four na form six na hiyo leseni tu, hawataki korokoro zingine ndio maana inakugomea kama umeweka na mbwembwe zingine
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Hiyo Declaration yako inaonekana umeshapiga tick hapo nyuma. Ni swala la kukumbuka. Maana ikiwa bado huwa ipo fainted bila Alama ya tick kuonekana kwenye Kibox.Na vipi kuhusu hii Declaration ndo Hamna mwenywe majibu?
Yaani binadamu bwana, umepata changamoto kidogo unaanza kulaumu kuwa urasimu ni mwingi. Jaribu kuwa na mtazamo chanya uta enjoy maisha. Wame avoid kufuta mwenyewe kwa sababu mtu anaweza ona tangazo la diploma na yeye ana diploma na degree akaamua kufuta degree ili aombe kaziCheti Cha VETA kinakaa ktk Training and Workshop au Academic Qualifications?
Manake leseni iko sehemu sahihi ktk Professional Qualifications!
Na kwanini hawajaeka option ya kufuta mtu mwenywe mbona Kama ilivyokuwa KUJAZA SI NI MIMI MWENYWE?
HII NCHI URASIMU UTAISHA LINI?
LESENI YANGU NAENDESHA PIKIPIKI MPAKA LORI WHY IGOME?
WTF?