Nilikunya pombe kali ya Valeur chupa kubwa mwaka jana November 24
, nilikunywa kwa mkupuo bila kupumzika huku nimesimama mpaka ikafika nusu ndo nikaacha, baada ya muda kidogo nilipatwa na kichefu Chefu kikali na kutapika
, sasa kinachonishangaza hali hio imedumu mpaka leo hii tena ikiambanata na kukosa hamu ya kula, nilienda hospital nikapewa vidawa vya kuzugia lakini wapi,
NOTE: hospital sikusema kua nilikunywa pombe io kali, nilielezea hali niliyo nayo ya nausea,vomiting, na appetite loose,
sasa juzi kuna rafiki yangu nilimwelezea mkasa mzima akaniambia kua nina alcohol poisoning japo siku muelewa vizuri, na mpaka muda huu hali ipo vile vile japokua nimetumia dawa nilizopewa hospital, NAOMBENI MSAADA WAKUU
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo tayal ishatokea, ningepata msaada wako ingekua vizuri kuliko ivo unavyo niambia tena, kua na ubinadamu... Alafu mimi sio mlevi kabisa nilinunua tu nijaribu na sikuwahi kunywa beforeWakati hujaanza kunywa mbona hukuomba ushauri hapa
walevi mna shida walahi
Sent using Jamii Forums mobile app
MIMI SIO MLEVI, IO NDO ILIKUA CHUPA YANGU YA KWANZA MKUUMkuu inawezekana mwili wako uko addicted Na pombe ninavyojua walevi hua si watu wakula hata kidogo ila jaribu kuacha pombe taratibu si Kwa mkupuo unaacha tu hivyo jaribu kutumia huku ukiendelea kupunguza mpaka utakapoacha
Sent using Jamii Forums mobile app
asante kwa ushauriNenda tena hospitali na uwaeleze bila kificho chanzo cha tatizo lako,unaficha chanzo cha tatizo huko hospitali kisha unataka upewe dawa ya kulimaliza tatizo lako?
Mkuu chupa ya kwanza ndo unywe hivyo kibepari namna hio au mlikua kwenye shindano
Mkuu chupa ya kwanza ndo unywe hivyo kibepari namna hio au mlikua kwenye shindano
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa mkuu...io strong bear ndio dawa au na Inapatikana wapi
Hiyo ni alcohol poisoning maini yako Inaelekea siku hiyo yalipata tabu sanaaa... Mwili unajihami kwa kukuzuia usile wala kunywa chochote tenaa.. Ingekuwa Gongo ningekwambia unywe Konyagii ingekusaidia sema wewe Tafuta ndimuu au nalimao ya kutosha kunywa na Sprite inasaidia kupunguza pombe mzeww[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sema mkuu hiyo rangi ya ukuta nzurii sana..
Sent using Jamii Forums mobile app