Msaada wa African Microfinance na mikopo ya elimu ya juu

Msaada wa African Microfinance na mikopo ya elimu ya juu

WEKKI

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
477
Reaction score
146
Wadau nimesikia matangazo clouds FM ya Kampun ya African Microfinance LTD kuwa inatoa mikopo kwa wanafunz wa elimu ya juu waliokosa mkopo. Naomba ufafanuzi juu ya hii kampuni maana ni muanga wa HESLB na nataka nisome.

Nisaidiwe vigezo vyao na mkopo unarudishaje?
 
Ambacho sielewi wakikupa mkopo uta ulejesha je na Kwa vigezo gani
 
Mkuu hawa wanatoa ila hilo tangazo bwana lilikaa vibaya wanatoa kwa wafanyakazi tuu, wanafunzi walioajiriwa tayari na wanataka kusoma
So haiko kiivyo
 
mleta mada ni tapeli ..unataka kutapeli watu
 
Back
Top Bottom