Msaada wa advaned mathematics

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
604
Reaction score
218
Nimesoma kwenye TCU guid book kuwa kwa nurse anaweza ingia hata na E ya advance mathematic msaada hii advance mathematic ndio BAM au ndio pure??

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Advanced mathematics ni tofauti na Basic applied mathematics (BAM), hiyo inasomwa na wale waliochukua tahasusi za PCM, PGM na EGM, wakati BAM inasomwa na wale waliosoma tahasusi za sayansi kama CBG, PCB, CBA na biashara ECA, HGE. BAM ni sehemu ndogo tu ya Advanced Mathematics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…