Adobe sasa hivi wako kwenye version za CS5.5 Adope Photoshop 7 itakuwa ya zamani kiodgo na training yake itakuw imepitwa na wakati.
Tafuata mtandaoni na Training video za
lynda.com kuhusu photoshop zipo za level mbali mbali kulingana na ufahamau wako begginer au advanced. Kuna video training zaidi ya 122 za photoshop . Ninimetumia mara kadhaa hizo kujjifunza ABC na vitu vichache katika ulimwengu wa graphics.
So nenda
hapa lynda .com Angalia tiitle ya video niayoendana na mahitaji yako. Kisha kama una mkwanja agiza kama huna Itafute kwe ye
torreent . kwenye torrrent kama Piratebay p gharama itakuwa ni bandwidth tu.