a small one
Member
- May 22, 2017
- 51
- 27
- Thread starter
-
- #21
Unaonaje uka concentrate kwenye ishu nyingine cos nlichouliza hujansaidia as a result unaongelea vitu bangi....ok tufanye sihitaji au sio
Tatizo una wivu sana..
Njoo huku pink pool nikufundishe maisha ya huku ughaibuni...
Nmekupata mkuu asante sanatumia mapam dgo ya notc na vitabu vya maswali phz ni abc physics lak na sabini(nunua kopi yake 20elf) ;rogermancaster utakipata hko shle na nelkon edtn ya5 au4 vitaksaidia chemia chukua kopi ya ramsden maswali itakusaidia bioz yapo mengi
Kipi sasa icho university physics au unaongelea rodger mancaster?ckushauli knunua UP dgoooo hcho kitabu nakmbka nilikuwa natumia mm tu shule nzima kinamaswali inatakiwa ule kwanza afu umuombe mungu bt ni easy kama unajua logic za phyz
Aina noma kaka nmekupataMtafute mgote pale mchikichini au mudy physics ndo mwisho wa matatzo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mfano nko school hayo materials napataje mkuu....haina haja ukitaja jina la kitabu it's enough owkyyyKaribu kwenye group letu la wattsaap la physics mkuu kuna link utapata vitabu na materials nyingi,check me inbox to get the link
Sent using Jamii Forums mobile app
nikiandka UP i mean university physics kijana by then kasome utulie ucpanic hiyo ni pcb na D inaanzia50Kipi sasa icho university physics au unaongelea rodger mancaster?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siko ivo mkuualiyeanzisha mada hii kuna kila dalili hana adabu, anamparamia kila mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nmekuelewa mkuu sana tu...thanksnikiandka UP i mean university physics kijana by then kasome utulie ucpanic hiyo ni pcb na D inaanzia50
Soft copy naweza Kukusaidiasasa dogo unapewa bei alafu unaanza kutukana watu wanaokusaidia. hio ndo bei yake hicho kitabu.