Msaada wa 4g katika Sony xperia z3

Joined
Sep 8, 2017
Posts
59
Reaction score
266
Habari.. kama kichwa kinavyojieleza nina smartphone aina ya sony z3 na inaonekana kusupport lte(4g)..na nimeichagua 4g kama preferred ila nashangaa haifiki katika 4g inaishia H+ tu
Msaada wenu tafadhali
 
unatumia laini gani?
[emoji115] [emoji115] [emoji115] Jibu hili swali ili tukupatie ufumbuzi

Habari.. kama kichwa kinavyojieleza nina smartphone aina ya sony z3 na inaonekana kusupport lte(4g)..na nimeichagua 4g kama preferred ila nashangaa haifiki katika 4g inaishia H+ tu
Msaada wenu tafadhali
 
Hebu fafanua hapa
1. Upo maeneo gani yani mkoa, wilaya na kijiji/kata.
2. Unatumia laini gani....
3. Kabla ya kuanza kutumia simu ya LTE je hiyo line ilikua ni ya LTE?
4. Umbali wa wewe ulipo na mnara.
5. Xperia x3 model gani?
 
Nipo dsm maeneo ya ubungo natumia line ya tigo..kwa eneo hili hili kipindi nina modem ya 4g laini yangu ilikuwa inasoma coz ni lte
Duuhh..umbali na mnara hapo ni ngumu kufahamu
Natumia xperia z3 model D6603
Ingia kwenye acess point name yaani APN tumia tigowap
 
Je line yako niya 4G? Maana kama line yako sio ya 4G usifikiri simu itasoma 4G network, hadi ubadili line yako mkuu
 
Nipo dsm maeneo ya ubungo natumia line ya tigo..kwa eneo hili hili kipindi nina modem ya 4g laini yangu ilikuwa inasoma coz ni lte
Duuhh..umbali na mnara hapo ni ngumu kufahamu
Natumia xperia z3 model D6603
Kwa ubungo tigo ipo kwa band mbili 800 na 1800 so kwa model yako yafaa isome LTE/4G na hata TTCL wapo kwa band ya 800 pia..... umewacheki huduma kwa wateja wakakutumia settings?
 
nenda setting kisha about ni model gani ya z3 maana zipo nyingi
 
Naona inaanza kushika LTE kwa mbali Sanaa...tena kwa muda mfupi sana
hio ni original mkuu, fuata ushauri wa jamaa huko juu jaribu ku force 4g only. pengine signal ndogo hapo.

bonyeza *#*#4636#*#* kisha chagua lte only.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…