yani kifupi na urahisi ni kama barabara kuna single road (32-bit) na double road(64-bit). hii 64bit ipo advanced kuliko 32bit na computer inaitwa ya 32 au 64 kutokana na aina ya processor yake kua hivyo. software za 32-bit aka x86 zinaingia kwenye 64 lakini software za 64bit haziingii kwenye 32.
so mkuu its all about power
nina HP 6530b, ni duo core 2.53 Ghz, na RAM ya 2GB....nimeweka windows 8 Entetprise 32bit, ila nikichek properties inasema "System type : 32-bit operating system, x64 based processor"...... chief hii si maweza kuweka OS ya 64??
yah unaweka ila kaongeze na ram ikae hata 4gb maana soft nyingi za 64bit ni kubwa zaidi ya 32bit. mfano kama sjakosea photoshop cs5 ya 32bit inataka 2gb ya ram wakati ya 64bit inataka 4
Hakuna sababu ya kubadili kwenda 64bit hapo ulipo, unless unataka kutumia software ambayo haisupport 32bit kama Adobe Premiere.
Pia windows 32 bit ina limit ya RAM ya 3GB lakini hili imewekwa makusudi na MS sio limitation ya 32bit na linaweza kuzungukwa na patch.
Ila sio softwares zote za 32 bits zinakubali kwenye 64 bits, some zinagoma.yani kifupi na urahisi ni kama barabara kuna single road (32-bit) na double road(64-bit). hii 64bit ipo advanced kuliko 32bit na computer inaitwa ya 32 au 64 kutokana na aina ya processor yake kua hivyo. software za 32-bit aka x86 zinaingia kwenye 64 lakini software za 64bit haziingii kwenye 32.
so mkuu its all about power
hapo ndo nilipokuwa nawaza sana, mie siitumii sana 64bit windows ila tatizo la 32bit inakomea ram 3gb, nilipoweka kwenye laptop yenye ram 6gb nikagundua almost 3gb hazitumiki, sikupata jawabu la kuzifanya zitumike, mkuu Kang nipe mwangaza
Mkuu 64 Bit ndiyo habari ya sasa, kama una 32 bit na processor ni duo au zaidi basi kuna uwezekano huifaidi nguvu yote ya hiyo processor na pia the same applied to RAM. Mimi binafsi nakushauri uhamie 64bit.
Hakuna sababu ya kubadili kwenda 64bit hapo ulipo, unless unataka kutumia software ambayo haisupport 32bit kama Adobe Premiere.
Pia windows 32 bit ina limit ya RAM ya 3GB lakini hili imewekwa makusudi na MS sio limitation ya 32bit na linaweza kuzungukwa na patch.