Nawasalim wakuu,
Nimeombwa kumsaidia kijana kuweza kutengeneza career katika nyanda ya afya ya binadamu, mifugo, au mazingira.
Naomba mnishauri kozi nzuri za diploma zenye future hata ikibidi kujiajiri na vyuo gani vinatoa. Kapata CBG=EEE.
Wakuu nisaidieni Mungu atawalipa
Nangu Mandokwa