W web engineer Member Mar 19, 2012 55 0 May 11, 2012 #1 Salam naombeni msaada wa chuo chochote nchini India au Malasiya cha Bachelor in computer engineering. Tafadhali kiwe na bei nafuu kwa mtanzania kama mimi. Mchango wenu jamani nautegemea.Pia na ushauri
Salam naombeni msaada wa chuo chochote nchini India au Malasiya cha Bachelor in computer engineering. Tafadhali kiwe na bei nafuu kwa mtanzania kama mimi. Mchango wenu jamani nautegemea.Pia na ushauri