Wadau nimelima vitunguu maeneo ya Ruaha mbuyuni ndani sehemu za Idodoma.Kitunguu changu kimebakiza siku 30 hivi nikivune lakini kimeanza kukauka majani,sijui ni ugonjwa gani? Nitumie dawa gani na kinga ni nini?
Sasa mkuu umelima bila kuwa na mzoefu wa hicho kilimo? Yani unategemea kupata suluhisho jf sidhani Kama utapata kwa wakati. Uliza jirani zako huko ruaha wakulima si wengi!!
Nchi kwa maana ya ardhi ni shahidi tu wa laana maana ardhi ni shahidi au huficha kila baya mwanadamu atendalo au asemalo...."ardhi inalilia kwa damu za watu mlizo mwaga"....
Nchi kwa maana ya ardhi ni shahidi tu wa laana maana ardhi ni shahidi au huficha kila baya mwanadamu atendalo au asemalo...."ardhi inalilia kwa damu za watu mlizo mwaga"....