Msaada: Vitabu vizuri vya History na Economics Advanced level

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,403
Reaction score
2,549
Habari zenu wakuu,
Naombeni msaada wa majina ya vitabu vizuri vya masomo ya History na Economics kwa level ya advance. Ikipendeza zaidi niwekeeni na bei zake sokoni.
Asante.
 
History tafuta
1 kato abubakary
2 shibitali
3zisti kamili
4 ismail ngobi
5 oxford
6 Historical survey
7 major events
8 zombwe
9 prof muhina
10 past papers za necta
 
Histry soma major event ila sio Cha Nyambari nyangwine kipo chenyewe... Soma pia mastering of the African histry
 
Habari zenu wakuu,
Naombeni msaada wa majina ya vitabu vizuri vya masomo ya History na Economics kwa level ya advance. Ikipendeza zaidi niwekeeni na bei zake sokoni.
Asante.
Kamata Essentials in advanced level history.paper zote. Advanced level history notes by Zist Kamili part zote
 
Habari zenu wakuu,
Naombeni msaada wa majina ya vitabu vizuri vya masomo ya History na Economics kwa level ya advance. Ikipendeza zaidi niwekeeni na bei zake sokoni.
Asante.
History tafuta kitabu cha salehe yassin na cha Florence mavundee.... 1 na 2 vyote
 
Habari zenu wakuu,
Naombeni msaada wa majina ya vitabu vizuri vya masomo ya History na Economics kwa level ya advance. Ikipendeza zaidi niwekeeni na bei zake sokoni.
Asante.
Kwa kijana Wa advance kwenye masuala ya uchumi hasipate shida Sana tafuta Ambilikile 1&2 gharama kwa vyote utapata kwa 60,000/= tu
 
History 02..Tafta Essential ya Salehe Yassin lazma upasue mtihan..coz necta yetu ya 2019 asilimia karibu 100 maswal yote yalikuwepo kweny essential.
 
Back
Top Bottom