Habarini
wataalamu nina tumia Ant virusi ya Microsoft Security Essential kwenye PC yangu lakini kuna mtu alichukua flash yangu karudishwa ikiwa na documents tatu format ya Word
nazo zimeandikwa
1.assignments
2.Business Ideas
3.software Keys
ukizifungua hazifunguki; ukifuta zinapotea kwa muda kisha zinarudi, ukifomat Flash yote zinapotea kwa muda tu kisha zinarudi tena baada ya muda nimejaribu ku scan kwa hiyo Anti virusi lakini inaonyesha iko safi masaada jinsi gan nitaziondoa ndani ya flash
Heshima kwenu