Mudhyd
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 492
- 507
Habari za Asubuhi GT's.
Natumaini Yu Wazima.
Mimi Ni Kijana Wa Kitanzania, Nina Tatizo Lilioanza Muda Mrefu Kidogo, Nasumbuliwa Na Kutokwa Na Vipele Pamoja Na Michubuko Katika Kichwa Pamoja Na Shingo Ya Uume!
Naombeni Msaada Kwa Anaefahamu Tatizo Hili, Nini Hasa Sababu Zake Na Matibabu Yake Ni Yapi Kwa Mwenye Kujua Tatizo Hili?
Nawakilisha!