Msaada: Vigezo kupata Mkopo wa Wanafunzi

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Wakuu, inajulikana hapa nchini pana Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wanaomaliza Kidato cha Sita kwa wale wanaojiunga na Vyuo kwa masomo zaidi.

Sasa naomba kufahamishwa ili mwanafunzi apate huo mkopo anatakiwa awe na vigezo vipi?

Pana kijana kamaliza Kidato cha Sita, kaomba mkopo huo mapema tu na kajiunga na chuo kwa 'Diploma'. Hajapata huo mkopo.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom