Habarin za kwenu wana jamvi!! naomba kujuzwa kama kuna uwezekano wa kubadilisha VHS kuwa VCD, na kama inawezekana ni wapi hapa dar naweza nikapata hiyo huduma ...........
Ndugu yangu mbona hio kazi rahisi mno kuliko hata kunywa maji,nenda pale mitaa ya kariakoo sikumbuki vzr mtaa lkn ulizia kwa wenye Library zinazofanya Aditing za video watakufanyia,pia pale jirani na msikiti wa mtoro wapo wataalam pale.