Hapa Niko Nafikiria Habari Za Kuzeeka Zilivyo Na Vilaka...
Shuzi Linanitoka
Ninapowaza Zile Stage Za Mikongojo Na Ngozi kuchoka
Ooops........Mbaya Zaidi Hata Mashine Nayo Inablock ..Inamaana Watoto Wazuri Itakuwa Basi Tena Hivo
kifo Hakizuiliki Lakini Hata Uzee Jamani?.......Noooo.....Lazima Uzee Uzuilike
Sasa Wadau, Kama Kuna Mtu Anajua Mbinu Au Dawa
Anisaidie Ili Niendelee Kuwa Kamili
Jigo
Mkuu Uso Naona Dalili Za Makunyazi
Nikaona Hii Hali Ndo Ishaanza Kuchuja
Ila Mashine Jaman!
Bado na tezi dume inakungoja ..
Mwenyewe nauogopa uzee kusema kweli.
Mazoezi na chakula bora. No bear no smoking! Kama ulikuwa mvivu na hivi vitu ujanani, kazi unayo!