habari mkuu.. kwa mimi nilocanya hivi...
kwanza posts zangu zote nimeziwekea label tofauti accourding to content yenyewe inazungumzia nini mfano ukipost ng'ombe basi tengeneza label yake ambapo post zote utazopost zinazohusiana na ng'ombe basi utazilebo na uzuri wa kufanya hivo ni kwamba uta pata Link ya Label ya posts zako zote ulizowahi kupost kuhusu ng'ombe.. hiyo link unaichukua then unaenda kwenye html edit kisha search moja ya dropdown menu Mfano (NG'OMBE) hiyo nimeiona kwako.. sasa hapo tafuta alama ya # kisha replace alama ga # kwa ile link ya label uliyokwisha itengeneza hapo mwanzo kisha save template...ikiandika successifully nenda kajaribu kuibonya ile drop menyu ya neno NGOMBE na kisha angalia je itakupeleka kwenye posts za ngombe ulizowahi kupost?
ni hayo mkuu.. sorry for my bad swahili