achengula
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 369
- 62
Ninablog yangu iliyokuwa inatumia template ya google lakini nilikuwa nashindwa kuweka heading zenye dropdown list mwanzoni mwa blog. Hivyo nimedownload template nikaupload kisha nikaedit hizo heading na droplist ziendane na kile ninacho kitaka kupitia HTML code (Simtaalamu wa ke edit codes, nimejaribu na kufanikiwa kwa kiwango hicho). Sasa tatizo nililolipata sioni shemu ya kuweka contents kwenye hizo heading nilizotengeneza. Nikienda kwenye layout ya google pia sioni sehemu ya kuweka naendelea kuona tu zile za zamani. Msaada nafanyaje ili niweke contents, link ya blog hii hapa SEKTA YA MIFUGO TANZANIA