Habari za jiioni wana Jamvi,napata wakati mgumu sana kutumia hii wovuti ya Kujiunga ili kupata Salary slip.http://http://www.utumishi.go.tz/watumishiportal/signup/signup.php.
Nina zaidi ya week sasa nahangaika kila muda,mara niivizie usiku lakini mara zote napata ujumbe huo hapo.Au kuna mabadiliko kwenye wovuti hiyo?Asanteni ..