Eng Kahigwa
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 783
- 632
Hiyo hapo mkuu, nimeiweka picha yake.Mkuu ni aina gani io multimeter yako kama utakuwa na picha itatusaidia kujua tuanzie wapi kukuelekeza....Karibu
Na vipi kuhusu kutumia kwa upande wa voltage?Tuambie Ni aina gani ya multimeter.
ILA capacitors zinapimwa kwa kutumia ohmmeter na set range kubwa.kwa capacitor nzima haitakuwa na resistance kubwa na hiyo itakuwa Kati ya 500ohm-1000M
jinsi ya kupima,tumia brack probe upande WA positive na red probe upande WA negative
typing.....
Haina option ya kupima capacitor hio ila unaweza fata trick ya mkuu apo juu kutaka kupima Transistor weka pointer yako hapo hFE then tumbukiza izo legs zako za transistor kuijua kama ni Npn au Pnp pia hio multimeter yako haipimi Ac current kwa voltage kama kawaida black probe always inakaa common na red ita vary kutokana na unachotaka kupima kwa continuity, voltage diode na resistance red iweke apo kwenye v na iyo symbol ya ohms kwa current weka apo Ampere be care wrong connection could ready to damage your multimeterHiyo hapo mkuu, nimeiweka picha yake.
Mkuu asante sana kwa maelezo yako, nimeshakuelewa kwa kweli.Haina option ya kupima capacitor hio ila unaweza fata trick ya mkuu apo juu kutaka kupima Transistor weka pointer yako hapo hFE then tumbukiza izo legs zako za transistor kuijua kama ni Npn au Pnp pia hio multimeter yako haipimi Ac current kwa voltage kama kawaida black probe always inakaa common na red ita vary kutokana na unachotaka kupima kwa continuity, voltage diode na resistance red iweke apo kwenye v na iyo symbol ya ohms kwa current weka apo Ampere be care wrong connection could ready to damage your multimeter
Asante sana maana umeniondolea ujinga hususani katika kupima current.Ila pia current ina trick zake kupima tofauti na voltage ambayo unaunga parallel across the load ila current una unga series na loadView attachment 298492
Asante sana maana umeniondolea ujinga hususani katika kupima current.
Hii hapa vipi inapima Capasitor wadau
nakumbuka mm nilikuwa natumia *Continuity kujua kama Capacitor ni nzima au mbovu.
Ina range kwanzia Tsh. 25,000/= na kuendelea japo inategemea yenye features za aina gani.Hivi,multimeter dukani ni Bei gan?
20k au 25k nilinunua hizi digital basic multimeterHivi,multimeter dukani ni Bei gan?
Hivi,multimeter dukani ni Bei gan?
🙏🙏Ina range kwanzia Tsh. 25,000/= na kuendelea japo inategemea yenye features za aina gani.