Nilikuwa natafakari ile ya kwetu wanywaji tunayopeana, ofa. Kumbe ilitoka kwenye kiingereza neno offer maana yake ni sadaka, sasa imagine mnakunywa unamwita mhudumu njoo mletee huyu sadaka ya bia mbili ,🤣🤣🤣🤣🤣🤣, utapigwa chupa za uso, kumbe uko sahihi