Msaada:USB(Hardlock) key ya software haifanyi kazi

Mbalizi feedstuff

Senior Member
Joined
Feb 23, 2025
Posts
199
Reaction score
212
Habari ya jioni wakuu.

Kuna software ya kutengeneza formula za vyakula vya mifugo niliinunua Thailand $475,hii software ili uitumie ni lazima uingize hardlock key kwenye USB port ya computer,bila hardlock key huwezi kuifungua hii software na kuitumia sasa hivi hii hardlock key haiwi recognise kwenye computer hivyo siwezi tena kuitumia.Kama kuna mtaalamu yeyote anaweza kuwa anajua suluhu ya hili tatizo anijulishe nifanyeje.


usb hardlock key yenyewe ni hiyo ya blue na chini yake ndio software yenyewe


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…