Habari wakuu,
Kuna yeyote mwenye idea na hizi USB flight simulators kama vile Dynam na Phoenix kwa ajili ya kurusha radio controlled helicopters kwenye computer? Nafungua center kwa ajili ya computer games hapa Arusha na natafuta mtu wa kufundisha haya mambo.