Msaada: Usaili Halmashauri ya jiji Arusha na Jiji la Mbeya

Msaada: Usaili Halmashauri ya jiji Arusha na Jiji la Mbeya

kikaniki

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
508
Reaction score
979
Humu ndani Salaam!!

Nilituma maombi ya kazi za utendaji wa mitaa ktk jiji la Arusha na Jiji la Mbeya. Kwa jiji la Mbeya ni ajira za marudio.

Ninaomba kama yupo mwenye ufahamu, atujulishe iwapo majina ya shortlisted ni tayari au bado?

Humu tupo wengi sana, mwenye access ya taarifa hizo, chonde chonde tujuze. Na kama una ndugu yako, rafiki yako au mtu yeyote unayemfahamu na anafanya kazi ktk ofisi hizo nilizozitaja naomba uniulizie

Nawasilisha. Tusaidiane tafadhali
 
Back
Top Bottom