K Kiparaa JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 384 Reaction score 114 Oct 7, 2014 #1 Habari ya kazi wadau, Naomba mwenye ufahamu wa wakala wa usafirishaji anayeweza kunisafirishia bajaji kutoka Dar kuipeleka Kahama, anisaidie mawasiliano yake. Natanguliza shukurani.
Habari ya kazi wadau, Naomba mwenye ufahamu wa wakala wa usafirishaji anayeweza kunisafirishia bajaji kutoka Dar kuipeleka Kahama, anisaidie mawasiliano yake. Natanguliza shukurani.