Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,682 Reaction score 16,702 Jan 25, 2011 #1 Wadau naomba kuliza; Hivi kuna flight inayofanya Safari ya Arusha- Bukoba? Na je kama ipo ipi na fare ni kiasi gani to an fro? Ntashukuru kwa msaada wenu! Naomba kuwasilisha, Asanteni!
Wadau naomba kuliza; Hivi kuna flight inayofanya Safari ya Arusha- Bukoba? Na je kama ipo ipi na fare ni kiasi gani to an fro? Ntashukuru kwa msaada wenu! Naomba kuwasilisha, Asanteni!