Kweli mkuu mimi pia nilitibiwa hivyo hivyo. Ila maumivu yake SIO YA DUNIA HII ni bora kuyasikia tu.Pole sana mkuu in short URETHRAL DISCHARGE SYNDROME{UDS} ambyo husababishwa na magonjwa ma 2 chlamydia trachomatis & neisseria gonorrhoeae au yawezekana wakawa trichomonas vaginalis parasites wanaopatkana kwenye uke. Kwa ushauri wangu uwai lab kwajili ya discharge diagnosis au kama waona aibu nakushauri uende pharmacy ukachukue dawa zifuatazo CIPROFLOXACIN 500mg ou upatiwe METRONIDAZOLE 400-500 orally . Ukfanya hayo utapona mkuu NOTE gono ikiewa sugu aitibiki kirahisi.