Kwa ninavofahamu Deloitte huwaga wanakutumia majibu kwa njia ya email hatakama hujachaguliwa. So inawezekana bado hawajaitwaHabari Wakuu, Karibia mwisho wa mwaka jana Deloitte walitoa nafasi mbali mbali kada ya ICT, Position ilikua ni Zonal IT Associate. Baada ya kufanya maombi watu wakatumiwa response ya kufanya Aptitude test, tena ilikua online na kulikua na test tatu (Universal Cognitive Aptitude test, Employment Personality Test na Emotional Intelligence Test).
Stage hiyo ilipita lakini mpaka leo hakuna feedback kwa wale waliofanya hzo test online. Je, Kuna mtu alifanya hizo test na kupewa feedback ama bado kila mtu hajapata mrejesho?
Lengo langu ni kuweza kufahamu kama stage zinazofata za interviews zimeshafanyika !!
Shukran.
Kwa ninavofahamu Deloitte huwaga wanakutumia majibu kwa njia ya email hatakama hujachaguliwa. So inawezekana bado hawajaitwa
Hata mimi nilifanyaga Interview(Oral)na hao Delloite mwezi January tarehe 17 pale kwenye Ofisi zao,na wale wadada wawili walionifanyia Interview wakaniahidi majibu ndani ya siku 10,leo umeshapita mwezi na wiki kadhaa wapo kimya!!!sidhani kama wapo professional
mm pia nlifanya aptitude sijapata feedback hadi leoHabari Wakuu, Karibia mwisho wa mwaka jana Deloitte walitoa nafasi mbali mbali kada ya ICT, Position ilikua ni Zonal IT Associate. Baada ya kufanya maombi watu wakatumiwa response ya kufanya Aptitude test, tena ilikua online na kulikua na test tatu (Universal Cognitive Aptitude test, Employment Personality Test na Emotional Intelligence Test).
Stage hiyo ilipita lakini mpaka leo hakuna feedback kwa wale waliofanya hzo test online. Je, Kuna mtu alifanya hizo test na kupewa feedback ama bado kila mtu hajapata mrejesho?
Lengo langu ni kuweza kufahamu kama stage zinazofata za interviews zimeshafanyika !!
Shukran.
nilifanya Aptitude Test kisha nikaitwa kwenye Oral nafasi ya Communication and Knowledge Management Manager,karibu mwezi wa pili sasa hakuna feedback wakati waliahidi siku 10!!!hawapo professional kabisaulifanya aptitude kabla ya hiyo Oral mkuu ? kama ndio bas nijuze ilikua position ipi ?
wao wanapewa kazi na Taasisi fulani wawatafutie wafanyakazi wa fani A,B,C nk,wakiwapata wanawapeleka kwa waliowapa kazi wanalipwa chao,hivyo ukata wao hauwezi kusimamisha kazi walizopewa na wateja waoHawa watu activities zao zimesimama kutokana na ukata bado bepari hajaweka mzigo, kuna uwezekano mwezi huu march mambo yatakaa sawa
Sawawao wanapewa kazi na Taasisi fulani wawatafutie wafanyakazi wa fani A,B,C nk,wakiwapata wanawapeleka kwa waliowapa kazi wanalipwa chao,hivyo ukata wao hauwezi kusimamisha kazi walizopewa na wateja wao