Kiziwanda chema
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 289
- 478
Mwenge catholic university kipo moshiChuo gani hicho
Ohoo! MWECAU ndo wanafanya upuuzi huo.Mwenge catholic university kipo moshi
Yeah wanatoaKwani MWECAU wanafundisha hadi ngazi ya cheti?
Asante kwa ushauri mkuuPole sana. Taratibu huwa zipo hivyo.
Kwa busara tu, Fanya Mpango Uongee na Mkuu wa Chuo umueleze shida yako. Kama cheti kipo na shida ni Graduation list, basi muombe akupe cheti kisha jina lako litokee tu kwenye List ya Mwaka unaokuja.
Hata hivyo cheti chako ni cha mwaka huo hata kama haupo kwenye List.
Dah poa mkuuHuo ndio utaratibu mkuu Kuwa mpole tu. Bila kutokea kwenye hiyo list hakuna utakachopata, utapiga kelele tu humu but nothing
Tired[emoji17]Bado hujagraduate wewe, umemaliz malipo sawa, sasa subiri next graduation, ndio utapewa. Ni utaratibu hata wala usihamaki